Yani kunalines man ananyoosha bendera tu iwe offside isiwe ofside yanga inainewa sana hapa jamhuri.
musa said musa kaifunga simba.
TOTO 1 - 0 SIMBA. mia
TOTO 1 - 1 SIMBA. dakika ya 25. rashid mkoko ndo kasawazisha. toto africa wanalalamika. mia
Mkuu figganigga unasema toto 1 na simba mia au ni macho yangu ndio yameona vibaya ? Lol
Wee Makoye si ulijinasibu kuwa umetia team Morogoro kuipa support Team ya Wananchi mbona updates zinasuasua sasa?