Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
TIMU YA YANGA:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
-
Wabheja Sana
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani
Nashukuru kdm kwa kunipanga mbavu ya kushoto na nipo ndani ya mji kasoro bahari, ntakuwa napanda na kushuka kama Marcelo vile. Ivi ile timu ya Ndetichia leo haiendelezi mbio zake za kusaka nafasi ya pili?
Mkuu Makoye matale leo kdm kakupanga namba ngumu sana, sifa chache lawama nyingi, chondechonde usije ukawazawadia maafande goli kama lile walilookota wamoroco.
Wako mabatini kumenyana na Ruvu Shooting leo leo.
Sijamuona MANDIETA kwenye kikosi
Go Yanga Go!!susuuuuu!!
Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
TIMU YA YANGA:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
-
Wabheja Sana
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani
Stadium - MorogoroTupe list basi za wachezaji pande zote mbili
Tupe list basi za wachezaji pande zote mbili
Na mimi nipo benchi napasha watatutambua LIBOLO la Tanzania na Afrika mashariki na kati.Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
TIMU YA YANGA:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
-
Wabheja Sana
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani