Yanga VS Mamelodi Sundowns I CAF Champions league l Leg 1 I Benjamin mkapa stadium l 29.03.2024

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Yanga inategemewa kucheza na club ya Mamelodi Sundowns (masandawana ) kutoka Africa ya kusini.

Yanga Ni moja ya wawakilishi wa TANZANIA kwenye mashindano haya, kila la kheri wananchi.
Screenshot_20240323-121031.jpg
 
Hiki kihelehele kinasababishwa na nini Bwana Mkubwa?
Halafu ni shabiki wa Simba huyo, yaani nashangaa sana mitandaoni hadi humu JF ni kuangaika na habari za Yanga na Mamelod wakati wao pia wana mechi tena ndio wanaotangulia kucheza
 
Yani sijaelewa kwamba huu ni uzi wa updates wa mechi inayochezwa wiki ijayo au niaje?
 
Back
Top Bottom