YANGA Vs COASTAL UNION

Dah mkuu ndetichia mimi ni yanga damudamu,nakusanya nguvu kumuingiza machinjioni jamaa mmoja tareh 18 si unajua kitoweo cha yanga mtego unanasa tarehe 18

Yanga tutamkamata mnyama, tunatangaza tenda ya uchinjaji, sifa ni mtu yeyote ni ruksa kumchinja si lazima awe wa dini fulani, wa kwanza kufika wa kwanza kuhudumiwa. Ukiona DAMU na manyoya ujue KACHINJWA na kuliwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…