mkuu ozil mjerumani yule!sijui mlimpanga wa nini!!!!Hahahahaaaa, kuna watu hawakuichukulia serious kama kuna Ozil, ila Essien, Modric na Ramos inaonekana walikua wanahamu sana na ofa
Hivi yanga wamepewa heshima yao ya kupigiwa gwaride la heshima?
mkuu tuko pamoja hadi dakika ya mwisho!!Utaniambia mwisho wa mchezo.
Hivi yanga wamepewa heshima yao ya kupigiwa gwaride la heshima?
Yanga leo wanachezea kipigo.
Atapewa akimpakata Simba 6-0
mkuu ozil mjerumani yule!sijui mlimpanga wa nini!!!!
Utaniambia mwisho wa mchezo.
Utaniambia mwisho wa mchezo.
Dua la kuku ...
mkuu si mabinti tu na malkia mwenyewe lazima apigwa siku hiyo!!!Watatupigia mabinti wa malkia wa nyuki
Yanga leo wanachezea kipigo.
mkuu si mabinti tu na malkia mwenyewe lazima apigwa siku hiyo!!!
Mfungaji nani?
mkuu si mabinti tu na malkia mwenyewe lazima apigwa siku hiyo!!!
nani atathubutu kuweka ahadi ambayo ni obvious inatekelezeka!!Ivi Simba hawana Baloteli wao naye aweke nadhiri ya kidosho?