Yanga Vs Azam Factfile/Stats

Yanga Vs Azam Factfile/Stats

Lonestriker

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
640
Reaction score
241
Date Place Round Home Away Tournament
23/02/2013 Dar R18 Yanga 1-0 Azam Ligi kuu Bara 12/13

04/11/2012 Dar R5 Azam 0-2 Yanga Ligi kuu Bara 12/13

28/07/2012 Dar Final Yanga 2-0 Azam Kagame cup 2012

10/03/2012 Dar R19 Yanga 1-3 Azam Ligi kuu Bara 11/12

18/09/2011 Dar R6 Azam 1-0 Yanga Ligi kuu Bara 11/12

30/03/2011 Dar R20 Yanga 2-1 Azam Ligi kuu Bara 10/11

24/10/2010 Dar R9 Azam 0-0 Yanga Ligi kuu Bara 10/11

07/03/2010 Dar R19 Yanga 2-1 Azam Ligi kuu Bara 09/10

17/10/2009 Dar R8 Azam 1-1 Yanga Ligi kuu Bara 09/10

08/04/2009 Dar R19 Yanga 2-3 Azam Ligi kuu Bara 08/09

15/10/2008 Dar R8 Azam 1-3 Yanga Ligi kuu Bara 08/09

P W L D GF GA

Yanga 11 6 3 2 16 11

Azam 11 3 6 2 11 16

Sourced Tanzanian Soccer: Yanga Vs Azam Factfile/Stats
 
History ni kama mavi ya kale. mavi ya kale hayanuki hata uyakoroge, Kwahiyo hizo history zenu sijui Yanga kashinda maranga pi dhidi ya AZAM? leo musitarajie kua itajirudia. Ila musikimbilie kumpiga Refa maana mukishindwaga mpira munakimbiliaga ndondi.
 
Yanga leo kakoswa koswaa 3-0. lakini kinyume cha hapo waje na kapu kabisaa!!! maana idadi ya goli watakazo gongwa ni nyingi mno.
 
Yanga leo kakoswa koswaa 3-0. lakini kinyume cha hapo waje na kapu kabisaa!!! maana idadi ya goli watakazo gongwa ni nyingi mno.

Kuna mdau kanipenyezea nyepesi eth Mwaikimba ndiye tegemeo la Azam leo hii kwani aliwafunga Mamelodi Sundowns. Wadau mnasemaje?
 
Back
Top Bottom