Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,587
Naona tunapishana tu Mtani. Mie Alhamdulillah niko poa Mtani.![]()
![]()
![]()
Nipo mtani ,we tu ndio hunitafuti ,mambo vipi lkn
Naona tunapishana tu Mtani. Mie Alhamdulillah niko poa Mtani.![]()
![]()
![]()
Nipo mtani ,we tu ndio hunitafuti ,mambo vipi lkn
Hahahaha ,kwa kweli tunapishana,nami nipo tu mtani, naona 'dozi' za uwanja wa nyumbani zimekoleaNaona tunapishana tu Mtani. Mie Alhamdulillah niko poa Mtani.
Hawezi kujibu swali hili binamuAkikujibu nitag.![]()
😂😂😂 umeonaeeee. Mpaka kieleweke Mtani.Hahahaha ,kwa kweli tunapishana,nami nipo tu mtani, naona 'dozi' za uwanja wa nyumbani zimekolea
😂😂😂😂😂Hawezi kujibu swali hili binamu
Safi Sana mtaniumeonaeeee. Mpaka kieleweke Mtani.
Eeh ni wa Mwakaleli!!!Teh teh teh Mkuu unamfahamu sana Mwakalobo?
Hahahahahhaha sembo unaitwa huku ngoja nikuitie na wengine fungi, jimmymziray, silver_back, na wengineo wengi