Yanga v/s Ruvu shooting Live National Stadium

kavumbagu kachezewa vibaya nje ya 18. anapiga nionzima na kupata kona. mia
 
azobata azokite ya yanga inawapa hali ngumu Ruvu hadi benjamin haule kapata maumivu baada ya kuzua ule mpira alopiga nionzima. mia
 
mpaka mwisho nafikiri yanga itashinda 4 ruvu 2,ruvu wameshachoka
 
star tv wamekojolea kipindi cha mpira. mimi naondoka. ntarudi kuwapeni matokeo ya jumla.bye!. mia
 
dakika ya 36 jerry tegete anaifungia yanga goli la pili.
RUVU 2 - 2 YANGA. Nimerudi tena. mia
 

mpira sio mauzo ya nyanya,acheni mdomo kuliko uwezo wa timu.
 
yanga wamekosa goli la 3 baada ya kavumbagu ya kumpa pasi tegete na tegete kaleta mapozi ya kupiga kistaa kipa akadaga. ni kosa kubwa kuremba wakati watu wanataka ushindi. mia
 
Yanga 2 Ruvu 2,huyu twitte,niyonzima na kavumbagu ndo nyota leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…