Yanga sc Vs Ruvu shootings

hivi Cynic uwezo huanzia kufunga magoli mangapi?

Hata LIBOLO liligonga kimoja Dar, wiki 2 baadaye liligonga vinne kwa Dear wake, hapo vipi, una comment yoyote zaidi juu ya uwezo wa Yanga kupata goli 1 kila mechi?
 
Last edited by a moderator:
hivi uwezo wa yanga ni kufunga goli moja tu? kila mechi ...

Wanakamiwa sana, kama Simba walivyo ikamia LIBOLO lasivyo wangepanua uwanja walikuwa wanakula nyingi.
 
manunuzi@magoliyababu.com

hivi Cynic uwezo huanzia kufunga magoli mangapi?

Hata LIBOLO liligonga kimoja Dar, wiki 2 baadaye liligonga vinne kwa Dear wake, hapo vipi, una comment yoyote zaidi juu ya uwezo wa Yanga kupata goli 1 kila mechi?

Wanakamiwa sana, kama Simba walivyo ikamia LIBOLO lasivyo wangepanua uwanja walikuwa wanakula nyingi.

Ndio maana tunataka tubadili jina tupo kwenye mchakato kupitisha jina ka kibolo

Hongereni lakini.
 
Bado point 5 kama sikosei...kabla ya leo zilikua zahitajika point 8

Azam pekee ndiye amekamata ubingwa wa Yanga, ana pt. 37 na michezo 7, atapata pt. 58 endapo atashinda mechi zote. Yanga ana pt. 48 na michezo 6 hivyo anahitaji pt. 11 ili atangaze ubingwa sawa na ushindi wa mechi 4 kati ya 6 zilizosalia. I stand to be corrected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…