Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,647
FULL TIME : Yanga 2 - 0 Esperanca
GOOOOOOOO Dk 90+1 Matheo Anthony anageuka na kupiga shuti kali la kushitukiza. mpira unamgusa Antonio Kasule na mpira kujaa wavuni
DAKIKA 3 ZA NYONGEZADk 89 Yanga wanaendelea kugongeana vizuri lakini Sagrada wote wamerudi nyuma
Dk 88, Niyonzima, Matheo na Tambwe wanagongeana vizuri lakini mwisho pasi nzuri ya Niyonzima, Tambwe na Msuva wanategeana
Dk 86, Matheo Anthony ndani ya eneo la hatari akiwa katika nafasi nzuri baada ya kupokea pasi nzuri ya Tambwe lakini anashindwa kufunga na kupoteza nafasi nzuri kabisa kwa Yanga
Dk 84, Niyonzima anaingia vizuri na kupiga krosi safi kabisa, lakini Mwashiuya anapiga shuti hooooovyooo kabisa
DK 81 Morais anamzuia Mwashiuya na mwamuzi anasema ni faulo, inachongwa vizuri lakini mpira unaokolewa vizuri kabisa na chisola
Dk 80 Chisola anapiga krosi hatari kabisa lakini Cannavaro anakuwa mjanja, anaruka na kuokoa mpira huo
Dk 79 Yanga wanaonekana kushambulia zaidi na kasi yao inaonekana kuwashinda Esperanca
Dk 74, Yanga wanafanya shambulizi kali kabisa kwa kipindi cha pili baada ya shuti la Mwashiuya kuokolea, ukamkuta Joshua naye akaachia shuti kali lakini wanaokoa hapa Esperanca
Dk 73, krosi nzuri ya Twite inakosa mtu na mabeki wa Esperanca wanaokoa mpira huo
GOOOOOOOOOOO Dk 71, Msuva anaindikia Yanga bao safi kabisa kwa kichwa cha kurukia baada ya Mwashiuya kuingia na kupiga krosi safi la chini na Msuva anaruka kichwa cha chinichini na kuandika bao
Dk 65, Esperanca wanafanya shambulizi jingine kali lakini Yondani anakuwa mwepesi kutoka na kuokoa
Dk 57, inaonekana wachezaji wa Esperanca wanaonekana kuwa wajanja kwa kupoteza muda mara kwa mara
Dk 52, Mwahiuya anapiga tena krosi nzuri lakini mabeki wa Esperanca wanakuwa makini na kuokoa
Dk 47, krosi nzuri ya Msuva lakini inakuwa ndefu inampita juu Tambwe
Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi, lakini bado inaonekana Yanga
wanashindwa kuonyesha kama kweli watapata bao.
Hadi mapumziko, mechi imemalizika bila timu yoyote bila kupata bao.
*****************************
FULL TIME :Yanga 2 - 0 Esperanca
Simon Msuva 71' Mins (Yanga)
Matheo Antony 90 + 1 ' Mins ( Yanga)