ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Ww si ndio umefungua hiki kijiwe chako cha kahawa, weka update na line up ww mwenyeweYanga hata kutoa kikosi chao Wanaogopa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Msengelema sana wwBarabara kabisa leo niko live hapa nitaendelea kuungana na nyinyi kuhakikisha nawahabarisha yanayojiri katika viwanjani huko unguja, leo nitashusha update hadi kwa screenshoot ikibidi hata video clips za matukio muhimu nitaweka
wapi pape ostham sakho a.k.a OKW BOBAN SUNZU
Wapi Mayele a.k.a Insigne
Wapi kibendera muona offside a.k.a Its Pancho
Wapi Ahmed Ally a.k.a NAWATAFUNA
Wapi Sadio mane kanoute a.k.a Nyamizi
Naam Naaam wadau ni wengi wengine wakipasha misuli hapo tuendelee kusomana YANGA MBELE DAIMA MWIKO Here we go
View attachment 2072115
Amevumiliwa saana mpk amepona ila angekuwa sehemu nyingine angeachwa na angependa kuuguza majeraha yake nyumbani kwaoNaona balama mapinduzi karudi kikosini baada ya kukaa muda mwingi akiuguza majeraha
Na uvumilivu waliupata baada ya kwasababu alishawahi ifunga simba goli moja, bila ya hivyo angekuwa balaaAmevumiliwa saana mpk amepona ila angekuwa sehemu nyingine angeachwa na angependa kuuguza majeraha yake nyumbani kwao
Kmkm tuachie hyo boyaLeo ni Kufa Au Kupona. Mshindi lazima Apatikane kati Ya YANGA SC Vs KMKM ambaye Atakwenda Kucheza Nusu Fainali.
Saa 10:15 Joni mabingwa watetezi Yanga SC kupepetana na KMKM, timu zote zilipata ushindi mechi zao za ufunguzi.
Je, leo nani kuchezea kichapo?
Kila mmoja Anawakilisha lakini KMKM wanataka Kuwakilisha Hasa kwa Upande wa Visiwani
Atakae pigwa leo, Ametoka