Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 7,376
- 16,539
mbona Zanzibar wanapelekaga timu kimataifa ili kila mwaka wanafungwa Hadi goli 6 na kuendeleaHizi TFF ligii kuu Kwanini Haihusishi Vilabu vya Zanzibar na Wote ni Nchi Moja na Sisi Tunatumia Tanzania? Atleast wangekuwa na Timu za Maana mbona kama tunajitenga?