Time will tellHabari za weekend wadau,
Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba mzazi wa yanga Ibrahim bacca na mwandishi inafikirisha na kusikitisha sana.
Baada ya kumsikiliza baba yake Ibrahim bacca kutoka visiwa vya marashi na karafuu nimeamini yule engineer hersi ni mafia kweli sema anajificha kwenye kivuli cha matokeo na mwenendo wa yanga ila yule ni mafia wa kuotea mbali.
Feisal salum alisema ili arudi yanga labda engineer hersi aondoke ila mashabiki wakamshambulia bila kujua uhalisia ila feisal hakukurupuka kwasababu feisal anaijua yanga kuliko engineer hersi alikuwepo kipindi yanga inapitia kipindi kigumu na alikaa licha ya hali mbaya ya team.
Nimemsikiliza baba yake mzazi wa mchezaji Ibrahim bacca anasema mwanawe alikuwa analipwa 1.5 million kabla ya ku renew mkataba mpya kweli kupambana kote kule kumbe mshahara wenyewe wanamlipa kama wa coastal union ila engineer hersi ni mafia sana kwa kuwa mashabiki wa yanga wanaangalia matokeo tu hawawezi kuliona hlo na hata malipo ya sasa inaonekana sio mazuri japo mzee hajaweka wazi ni kiasi gani analipwa baada ya mkataba mpya ila ni kama anasikitika na haridhishwi na malipo hayo baada ya kukataa kujibu swali hlo.
Ukiangalia alivyoondoka yannick bangala djuma shaban na saido ntibanzonkiza utaona umafia wa engineer hersi hata juzi kati mayele alihojiwa kuhusu kurudi tena yanga alijibu mimi na yanga tumemalizana yaani hata akirudi Tanzania sio kuichezea yanga unaona tatizo lililopo la engineer hersi na hata fabrice ngoma wakati amepata dili la kwenda yanga aliwatafuta wa Congo man wenzake pale yanga wakamwambia huku hakufai kama una sehemu nyingine we nenda ila sio yanga ndio ukasikia watu wanalalamika wameibiwa mchezaji airport.
Stephan ki aziz kashaona pale yanga ni wasanii sasa hivi anazungushana nao kwenye mkataba wakati huo max zingeli naye akiwa hafurahishwi na engineer hersi alivyo msanii kwa kushindwa kutimiza mahitaji yake kwa wakati na kuanza kuangalia uwezekano wa kuondoka clubuni hapo engineer hersi ni mafia haswa kwasababu yanga imemgaragaza mtani na kuchukua NBC premier league na kufanya vizuri Caf confederation cup mashabiki hawawezi kukubali wala kuamini umafia wa GSM wao wanaangalia matokeo tu kweli Ibrahim bacca ni wakulipwa 1.5 million na inaonekana wapo wengi wanaopewa pesa za housegirl pale yanga.
NB: kwakuwa jamii forum ina hifadhi kumbukumbu ipo siku umafia wa engineer hersi utakuwa hadharani pale yanga na tutarudi hapa kuhitimisha because time is the best teacher.
Wewe jobless unalipwa ngapi?Habari za weekend wadau,

Ni ndogo sana ukilinganisha na mchango wake uwanjani na mikataba ya wachezaji wenzake....1.5 M plus posho & bonus unasema ndogo wakati serikali imetoa taarifa kuwa pato la kila mtanzania ni sh 2.8 M kwa mwaka.
Dokta lakini una emotions instability na unatakiwa uwahi kwa psychiatrist kwasababu mganga hajigangi kuna siku Albert einstein aliulizwa how many miles are in kilometres akajibu I don't always deal with facts I'm dealing with reasoning because facts even a fool can memorize it and provide a good answers.Wewe jobless unalipwa ngapi?
Pumbavu kabisa.
Unajua huyo Bacca kaja Yanga akiwa si star na haikutarajiwa kuwa hivyo. Yeye alinegotiate mshahara wa 1.5m alionao nyingi sana ukilinganisha na hela ya KMKM. Kumbuka hata huko EPL etc hawa akina Saka walikuwa wanalipwa chini ya 50k pw mpaka tukawa tunashangaa. Ukishine ndo unapata power ya negotiation. Hakuna klabu duniani inafanyaga ujinga wa kukurundikia mshahara ukiwa unproven. Hapa Mikia FC waulize Duchu analipwa ngapi ndo uje.Bacca hata mi kama mshabiki wa yanga Kuna list niliona ya mshahara nilishangaa sana kiasi alichokua analipwa, ila mkataba ni makubaliano naamini huu mkataba mpya anakula zaidi ya 5M maana bacca na aucho na diarra ndo engine ya timu yetu
Haileti maana bacca kuzidiwa mshahara na wachezaji kama kina mbwanna shomari
Duuuh very stupid question.Wewe jobless unalipwa ngapi?
Pumbavu kabisa.
Wakati wa Sakata la Feisal Salum nilipata wasaa wa kumsikiliza Wakala wa Dickson Job Bwana George Job. Kwenye interview ile George Job alisema hakuna Klabu yoyote ya mpira wa miguu Duniani inayopenda kumlipa mchzaji fedha nyingi. Kinachofanya timu kukubali kumlipa mchezaji fedha nyingi ni negotiation kati ya Wakala wa Mchezaji na Management ya Timu. Tatizo wachezaji wengi wa Tanzania hawana Mawakala wenye ujuzi wa negotiation. Utakuta mchezaji msimamizi wake ni baba, mama au mjomba ambaye hana ujuzi wa negotiation. Ukiacha hilo, Bacca amekuwa alivyo kiuchezaji kutokana na kuwa sehemu ya Kikosi cha Yanga na amekuwa branded na Yanga. Je, angeendelea kuwa JKU angefikia kiwango alichonacho? Ni sawa na Kibu Dennis angeendelea kuchezea Mbeya City angekuwa na mafanikio aliyo nayo sasa? Klabu zina mchango mkubwa kwenye maendeleo ya Wachezaji. Mchezaji akitaka alipwe vizuri basi awe na uwezo mkubwa wa kunegotiate vinginevyo ataishia kulalamika tu.Habari za weekend wadau,
Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba mzazi wa yanga Ibrahim bacca na mwandishi inafikirisha na kusikitisha sana.
Baada ya kumsikiliza baba yake Ibrahim bacca kutoka visiwa vya marashi na karafuu nimeamini yule engineer hersi ni mafia kweli sema anajificha kwenye kivuli cha matokeo na mwenendo wa yanga ila yule ni mafia wa kuotea mbali.
Feisal salum alisema ili arudi yanga labda engineer hersi aondoke ila mashabiki wakamshambulia bila kujua uhalisia ila feisal hakukurupuka kwasababu feisal anaijua yanga kuliko engineer hersi alikuwepo kipindi yanga inapitia kipindi kigumu na alikaa licha ya hali mbaya ya team.
Nimemsikiliza baba yake mzazi wa mchezaji Ibrahim bacca anasema mwanawe alikuwa analipwa 1.5 million kabla ya ku renew mkataba mpya kweli kupambana kote kule kumbe mshahara wenyewe wanamlipa kama wa coastal union ila engineer hersi ni mafia sana kwa kuwa mashabiki wa yanga wanaangalia matokeo tu hawawezi kuliona hlo na hata malipo ya sasa inaonekana sio mazuri japo mzee hajaweka wazi ni kiasi gani analipwa baada ya mkataba mpya ila ni kama anasikitika na haridhishwi na malipo hayo baada ya kukataa kujibu swali hlo.
Ukiangalia alivyoondoka yannick bangala djuma shaban na saido ntibanzonkiza utaona umafia wa engineer hersi hata juzi kati mayele alihojiwa kuhusu kurudi tena yanga alijibu mimi na yanga tumemalizana yaani hata akirudi Tanzania sio kuichezea yanga unaona tatizo lililopo la engineer hersi na hata fabrice ngoma wakati amepata dili la kwenda yanga aliwatafuta wa Congo man wenzake pale yanga wakamwambia huku hakufai kama una sehemu nyingine we nenda ila sio yanga ndio ukasikia watu wanalalamika wameibiwa mchezaji airport.
Stephan ki aziz kashaona pale yanga ni wasanii sasa hivi anazungushana nao kwenye mkataba wakati huo max zingeli naye akiwa hafurahishwi na engineer hersi alivyo msanii kwa kushindwa kutimiza mahitaji yake kwa wakati na kuanza kuangalia uwezekano wa kuondoka clubuni hapo engineer hersi ni mafia haswa kwasababu yanga imemgaragaza mtani na kuchukua NBC premier league na kufanya vizuri Caf confederation cup mashabiki hawawezi kukubali wala kuamini umafia wa GSM wao wanaangalia matokeo tu kweli Ibrahim bacca ni wakulipwa 1.5 million na inaonekana wapo wengi wanaopewa pesa za housegirl pale yanga.
NB: kwakuwa jamii forum ina hifadhi kumbukumbu ipo siku umafia wa engineer hersi utakuwa hadharani pale yanga na tutarudi hapa kuhitimisha because time is the best teacher.
Kabla ya Bacca kucheza Yanga ulikua unamjua?Habari za weekend wadau,

Ibra ameanza kuwa tegemeo mara tu aliposajiliwa Kwa mshahara huo wa 1.5. + Bonuses au amewika katikati ya Mkataba?Dokta lakini una emotions instability na unatakiwa uwahi kwa psychiatrist kwasababu mganga hajigangi kuna siku Albert einstein aliulizwa how many miles are in kilometres akajibu I don't always deal with facts I'm dealing with reasoning because facts even a fool can memorize it and provide a good answers.
Habari za weekend wadau,