Mzee anadai hati miliki zote za kaunda anazo. ilipelekwa kesi mahakamani kuhusu umiliki anadai aliwagalagaza wadai na anadai wanamzingua wamwachie timu yake. Anadai Mchunga ndo alimletea matatizo yote haya kwa kudai timu si yake. Yeye anadai jamaa hao wamuone kistaarabu lakini nao yaonekana hawataki. Yetu macho na yanga yao
The listener