kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Niliona jana kipindi kimoja cha michezo kinachorushwa na ITV mzee mmoja akidai club hii ni mali yake bahati mbaya sikuona mwanzo wa mahojiano ulikuwaje!Hii imekaaje huyu mzee kudai Yanga ni mali yake?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums