runyaga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 523
- 241
Ni kauli aliyomaliza nayo Jerry Muro kwenye mahojiano yake na Clouds fm.
Hawa viongozi wetu wa mpira tulionao kama akina Jerry kamwe hawawezi kuendeleza mpira wetu kwa kushindwa kutofautisha siasa uchwara za mpira wetu na mambo ya maendeleo ya mpira wetu.
Watajuaje utaratibu wa mashindano wakati kwenye semina elekezi hawakwenda, halafu anakuja na jibu dhaifu eti hawakwenda kwakuwa hawakuwa comfortable na maamuzi ya CAF, kwann wakubali kufanya mashindayo yanayoandaliwa na mtu ambaye hawamwamini? Si wajitoe
Anamjibu katibu mkuu wa TFF kwa kutaja vyeti vyake alivyosoma nje, hivi vyeti anavyotaja alikuwa anasomea mpira ili athibitishe kwamba sio mbumbumbu wa masuala ya mpira?
Viongozi wa mpira mbona hamtaki kumkemea Jerry kwa mambo haya anayoyafanya ya kuharibu mpira wetu, au mnamuogopa? Au yupo juu yenu kama alivyo juu CAF?
Je, ni kweli yanga ni kubwa kuliko CAF kama anavyosema Muro?