Yanga na Simba SC hamtoboi

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,247
4,076
Enzi zile muda kama huu SSC anapoint nne. This time mambo ni tofauti. Yanga nae ni hamna namna. Mambo ya Afungwe huyu adraw huyu ni hesabu za ajabu.

Yanga Hatoboi na Simba Hatoboi kwa assumption kwamba kila mtu ashinde kwake….. mengine ni kujifariji
 
Enzi zile muda kama huu SSC anapoint nne. This time mambo ni tofauti. Yanga nae ni hamna namna. Mambo ya Afungwe huyu adraw huyu ni hesabu za ajabu. Yanga Hatoboi na Simba Hatoboi kwa assumption kwamba kila mtu ashinde kwake….. mengine ni kujifariji
Tunautunza huu uzi for future reference

Usije ukaukimbia
 
Enzi zile muda kama huu SSC anapoint nne. This time mambo ni tofauti. Yanga nae ni hamna namna. Mambo ya Afungwe huyu adraw huyu ni hesabu za ajabu. Yanga Hatoboi na Simba Hatoboi kwa assumption kwamba kila mtu ashinde kwake….. mengine ni kujifariji
Everything is possible hakuna team isiyofungwa hata mamelody wamefungwa na Tp mazembe wydad wamefungwa na jwaneng galaxy yaani simba na yanga ni kina wasifungwe why ?
 
simba msimu uliopita muda kama huu ana point 0 na goli 0 na alitoboa robo fainali..
Simba na yanga bado zote nafasi zipo ...
bado sanaa kusema nani atoboi na nani anatoboa..

kama umeona simba na yanga hawatoboi haya tuambia wanaopita tayari robo fainali kwenye haya makundi

Galaxy na ASEC wanapita

Ahly na Mualjeria
 
Enzi zile muda kama huu SSC anapoint nne. This time mambo ni tofauti. Yanga nae ni hamna namna. Mambo ya Afungwe huyu adraw huyu ni hesabu za ajabu.

Yanga Hatoboi na Simba Hatoboi kwa assumption kwamba kila mtu ashinde kwake….. mengine ni kujifariji
Enzi zile zipi?
Acha ushamba kujifanya unajua wakati hujui lolote!
Mwaka jana tu Simba hakuwa hata na pointi moja baada ya mechi 2,lakini alitinga robo.Sasa wewe umasema enzi zipi?
 
Back
Top Bottom