Yanga na Simba nani ana nafasi kubwa ya kupindua matokeo ugenini?

Bora Yanga wanaweza kushinda ugenini kama watacheza kwa bidii kwani wanafanana viwango na wapinzani wao.
Al- Masri ni wazuri kupita Simba.
Jinsi nilivyo waangalia.
Pia Al-Masri ni wajuzi wa fitina za ushindi wakiwa kwao.
Simba inahitaji kucheza kwa kujituma sana ili kuweza kushinda ugenini
 
Nyie mashabiki wa yanga mnajipa matumaini. Kwanza timu lenu bovu linatuaibisha tu. Na kama yanga angekutana na Al masry angepokea kipondo hevi.
Simba is going to prove you haters wrong. The mighty Simba Sc is known for its record breaking history, and this time our Simba Sc is going to make it.
 
Bora Yanga wanaweza kushinda ugenini kama watacheza kwa bidii kwani wanafanana viwango na wapinzani wao.
Al- Masri ni wazuri kupita Simba.
Jinsi nilivyo waangalia.
Pia Al-Masri ni wajuzi wa fitina za ushindi wakiwa kwao.
Simba inahitaji kucheza kwa kujituma sana ili kuweza kushinda ugenini
Juzi Yanga walikuwa wanacheza mpira kama wapo ugenini wakati Rollers walikuwa kama wapo nyumbani, sasa huko ugenini kwenyewe sijui itakuwaje kwa Yanga.

Kimpira timu hizi mbili Simba na Yanga zilipishana kwenye uwezo na hata wapinzani wao. Simba walicheza na one of the giants in African football wakati Yanga walicheza na timu ya kawaida japo ni nzuri pia.

Simba walionesha maturity kidogo kuliko Yanga and yet Yanga ndio mabingwa Tanzania.
Sio rahisi timu hizi kupita round hii, lakini kwa Yanga hata wakiendelea kwenye makundi bado hawatakuwa na jipya, wamechoka sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom