wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 169
inahuzunisha hizi timu zilizopo jiji lenye utapeli uwongo majungu na lenye mashabiki wasiojua mpira.
na hii ndio inasababisha hata timu ya taifa kuwa kama simba na yanga ila nawaombeni sana sana Azamfc msifate tabia za hizi timu mkiridhi hiyo tabia hamtafika popote.
nashangaa wapenzi wa hizo timu wana kauli kuliko viongozi !! na katika timu nzuri mpaka sasa ni azamfc ila bado kombinesheni tu