yanga na nyimbo zao...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Yanga wako kwenye mchakato wa kutafuta nyimbo ya timu..
sasa kwa nini wasitumie ile nyyimbo ya pepe kale aliyowaimbia?
na je nyimbo za r&b kweli zitawafaa?

au kwanini wasiwaambie sikinde ambao wanafahamika kwa kuisapoti yanga waitungie nyimbo?

au shabiki na mjumbe wa timu yao Mzee Yusuph????


hivi hili zoezi lina maana kweli?????????
 
nasikia wanataka kutoa albam uzinduzi jpili taifa itaingia sokoni siku ya zamalek
 
Yanga bana, eti kuandaa timu ya ushindi wao wanaandaa nyimbo za ajabuajabu, lol, kosa mali........................
 
wakishinda THT hata kama walistahili kuna haja ya kuongalia hii..kwa nini watangaze Clouds peke yake kwani hamna Radio nyingine..au wamepewa free kutangaza..
 
Back
Top Bottom