F french JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 3,644 Reaction score 3,856 Dec 23, 2018 #1 Imethibitika kuwa nkana leo kuanza mpira kwa staili ya kuutoa nje. Kama yanga walivyoanza wakati wanacheza na simba. Wanasimba tutegemee nini kama hawa jamaa wakianza kwa staili hii. Je yanga wamewapeleka nkana kwa yule babu kule moro
Imethibitika kuwa nkana leo kuanza mpira kwa staili ya kuutoa nje. Kama yanga walivyoanza wakati wanacheza na simba. Wanasimba tutegemee nini kama hawa jamaa wakianza kwa staili hii. Je yanga wamewapeleka nkana kwa yule babu kule moro