Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,203
- 138,577
Sasa habari ya Mtibwa kutolipwa malipo ya goli kipa Mshery, na Mtibwa kucheza mpira ambao wewe haukufurahia inahusisiana nini? Unaelekea kuchanganyikiwa mkuu. Embu pitia kwa daktari wa afya ya akiliMi nilijua tu Mtibwa alikuwa sio wakucheza mpira ule pale manungu kuna namna
Mi nilijua tu Mtibwa alikuwa sio wakucheza mpira ule pale manungu kuna namna
Naunga mkono ba point za kagera wapewe simbaYanga wanyang'anywe point walizopata dhidi ya Mtibwa. Wapewe Simba
Unavosema Ivo Ni Kama Vile Mtibwa Ipo Kwenye Nafasi Tano Za Juu Kwenye Table Kwa Huo Mpira Wao Mkubwa Ambao Wewe Unaujua.Mi nilijua tu Mtibwa alikuwa sio wakucheza mpira ule pale manungu kuna namna
HahahaaaaSasa habari ya Mtibwa kutolipwa malipo ya goli kipa Mshery, na Mtibwa kucheza mpira ambao wewe haukufurahia inahusisiana nini? Unaelekea kuchanganyikiwa mkuu. Embu pitia kwa daktari wa afya ya akili
Hivi Mods siku hizi hata uzushi unaanzishwa tu na kuachiwa uendelee?MTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI
"Yalifanyika makubaliano ya pande mbili tukiamini Yanga ni watu wazima na watatelekeza mkataba unavyosema, lakini mpaka sasa hakuna hata moja lililofanyika.
Tangu January mpaka sasa hatujaona kitu. Mbaya zaidi Mawasiliano yetu na wao sio mazuri na hatukutaka haya mambo yafike kwenye Vyombo vya Habari, lakini kinachofanyika sasa ni sisi kuwafuata wao, lakini ilitakiwa wao watufuate sisi.
Hii ni kama tunawambeleza juu ya malipo ya Abuutwalib Mshery. Tunaendelea kuwasubiri na tutakuwa wapole, lakini hawajafanya vile ambavyo tulitarajia. Mtibwa Sugar tumetoa vijana wengi kwenda Yanga, kikubwa watazame makubaliano yetu na wao yanasemaje" Thobias Kifaru (Msemaji wa Mtibwa Sugar)
MTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI

Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo vya habari lakini wakati wa kudai wanakwenda kwenye vyombo vya habari na kuviacha vyombo rasmi vya kudai haki yako kama TFF, CAF, FIFA na mahakamani kupata Suluhu.
Hii ndio furaha pekee uliyo bakishaMTIBWA SC WATOKA MAFICHONI, WADAI YANGA HAWAJAWALIPA PESA YA MSHERI