Yanga muiache simba ipumue

Yanga muiache simba ipumue

Mbona povu mkuu?

Mara Manji mjinga, mara Manji sijui kitu gani mbona mnatapatapa? Matusi ya kumtukana mtu asiyehusika yanakujaje? Au wewe ndio umeamua kulikuza soka kwa maneno makali kwa mfadhili wetu?

Simba fanyeni mazoezi, mambo ya kumtafuta mchawi wala hayana tija. Timu zote zimejiandaa kushindana sasa kama mlitarajia ubwete sasa mmekumbana na mambo si mambo rudini mjipange, sio kutukana watu.

Y ang a Hoy eeeeeeeeeeeee!!!

Mkuu sitoki povu na sijasema manji ni mpumbavu direct nimesema kama kweli anahusika na hujuma za mgomo wa wachezaji wa Simba, hata mimi ni mshabiki wa Yanga lakini nataka timu yangu ishinde au kuchukua ubingwa kwa kuonyesha soka sio kuifanyia hujuma timu nyingine, hembu niambie kama mfadhili wenu atahonga timu za ndani na akachukua ubingwa vp mutakapokutana na timu kama nje, ataenda kuhonga na huko? na kama munaamini katika kuhonga na hujuma ina maana gani sasa munasajili wachezaji kwa bei mbaya ubora wao mutaujuaje?

Tunataka soka la kisasa, kama ambavyo wengi tunakwera na baadhi ya ushindi wa CCM kwakua wananunua shahada za kupigia kura pia tukerwe pia na hujuma kama hizi katika soka.
 
kama wale wazanzibari wanavyoomba waachwe wapumue, na mimi nawaomba yanga na uongozi wao waiache simba ipumueee, wametengeneza mgogoro wa wachezaji na pia wanazipanga timu zinazokutana na simba zinakaza sana, jamani yanga iacheni simba ipumue.
usiwe na wasiwasi ni upepo tu utapita
 
kama wale wazanzibari wanavyoomba waachwe wapumue, na mimi nawaomba yanga na uongozi wao waiache simba ipumueee, wametengeneza mgogoro wa wachezaji na pia wanazipanga timu zinazokutana na simba zinakaza sana, jamani yanga iacheni simba ipumue.

Mkuki kwa nguruwe eeeeh????!!! kunanichekesha kweli wewe Nyamtoroka hahahahahahahahahahaaaaaaaaa!!!!
 
Wakati wanaongoza ligi walikuwa wanamponda sana Manji leo hii kibao kimegeuka

Wanashindwa kuelewa ule msemo usemao Mpanda ngazi hushuka,ama kkuna kupanda na kushuka!!!!!!!!!!!!!
 
Ni kweli ndugu mimi sio mdau wa soka pengine kuliko wewe, lakini naamini sana katika ushindani na ndio raha ya soka timu ifungwe kwa kuzidiwa mchezo na sio matokeo yajulikane kabla hata ya mechi, nashukuru kama wewe ni mdau wa soka naomba uwapelekee kilio changu wadau wenzako kuwa tumezoea kununua mechi za ndani na kujiona tunajua mpira matokeo yake tukikutana na timu za nje tunafungwa na hatufiki popote maana hatuwezi kuwanunua hao wa nje.

Ni kweli YANGA OYEE hata mimi ni mshabiki wa YANGA ila nataka timu ninayoishabikia icheze soka la kisayansi na sio fitina,rushwa na uchawi.

kakojoe ulale twachie yanga yetu itupe raahaaa
 
Mkuu sitoki povu na sijasema manji ni mpumbavu direct nimesema kama kweli anahusika na hujuma za mgomo wa wachezaji wa Simba, hata mimi ni mshabiki wa Yanga lakini nataka timu yangu ishinde au kuchukua ubingwa kwa kuonyesha soka sio kuifanyia hujuma timu nyingine, hembu niambie kama mfadhili wenu atahonga timu za ndani na akachukua ubingwa vp mutakapokutana na timu kama nje, ataenda kuhonga na huko? na kama munaamini katika kuhonga na hujuma ina maana gani sasa munasajili wachezaji kwa bei mbaya ubora wao mutaujuaje?

Tunataka soka la kisasa, kama ambavyo wengi tunakwera na baadhi ya ushindi wa CCM kwakua wananunua shahada za kupigia kura pia tukerwe pia na hujuma kama hizi katika soka.

nilivokupima uwezo wako wa kufiri mdogo sana kama kuku wa kisasa alie bandani, ludi shule hata kama umepita shule basi ulifata cheti,. Yanga hoyeeeeeeee, hoyeeeeeeee, maharage ziziziziizzziiiiii
 
Mkuu sitoki povu na sijasema manji ni mpumbavu direct nimesema kama kweli anahusika na hujuma za mgomo wa wachezaji wa Simba, hata mimi ni mshabiki wa Yanga lakini nataka timu yangu ishinde au kuchukua ubingwa kwa kuonyesha soka sio kuifanyia hujuma timu nyingine, hembu niambie kama mfadhili wenu atahonga timu za ndani na akachukua ubingwa vp mutakapokutana na timu kama nje, ataenda kuhonga na huko? na kama munaamini katika kuhonga na hujuma ina maana gani sasa munasajili wachezaji kwa bei mbaya ubora wao mutaujuaje?

Tunataka soka la kisasa, kama ambavyo wengi tunakwera na baadhi ya ushindi wa CCM kwakua wananunua shahada za kupigia kura pia tukerwe pia na hujuma kama hizi katika soka.

Manji hawezi kuhusika, kama ni hivyo angenunua wacheyaji wote wa Simba, Yanga ingeshinda 6-0.
 
Mkuu sitoki povu na sijasema manji ni mpumbavu direct nimesema kama kweli anahusika na hujuma za mgomo wa wachezaji wa Simba, hata mimi ni mshabiki wa Yanga lakini nataka timu yangu ishinde au kuchukua ubingwa kwa kuonyesha soka sio kuifanyia hujuma timu nyingine, hembu niambie kama mfadhili wenu atahonga timu za ndani na akachukua ubingwa vp mutakapokutana na timu kama nje, ataenda kuhonga na huko? na kama munaamini katika kuhonga na hujuma ina maana gani sasa munasajili wachezaji kwa bei mbaya ubora wao mutaujuaje?

Tunataka soka la kisasa, kama ambavyo wengi tunakwera na baadhi ya ushindi wa CCM kwakua wananunua shahada za kupigia kura pia tukerwe pia na hujuma kama hizi katika soka.
Mamluki unajiita YANGA uaneni wenyewe na timu yenu mbovu wenzenu tulienda nje ya nchi kwa maandalizi wenzetu mkaenda arusha na ma pro wenu mitumba kz mnayo mwaka huu.....!!!
 
Back
Top Bottom