MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 350
Una umri gani kijana inaonekana wewe ni mtoto wa mama maana maneno yako yanaonesha hujui kama kuna kupanda na kushuka, kuna kupwa na kujaa, kuna milima na mabonde Siku zote haziwezi kuwa sawa TUNAENDANA NA NYAKATI. Pole mtotoHabar wana Jf mimi huwa si mdau Wa kuandika humu ila kwa hili ngoja niseme Leo nikiwa katika pita pita zangu huku mkoani Iringa ghafla nakutana na Gari ya timu ya Yanga inaelekea maeneo ninayo ishi nikajiuliza Nini tatizo
Bahat nzuri nikaona walipofikia duuuu ama kwel njaa ni mbaya Yanga iliyokuwa ikilala hotel kubwa Leo ndo wamefikia lodge ya sh elfu 5 wapo hapa country side Lodge wanaomba chakula mpaka kwa wanafunzi Wa Tumaini chuo
Ama kwel njaa haina baunsa mnaomba chakula kwa wanafunzi isitoshe wanafunzi hao ni certificate na diploma bora wangekuwa degree wenye boom mlaaniwe
Na wanafunzi Wa Tumaini kuweni makini na hao omba omba
Sent using Jamii Forums mobile app