FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,913 Reaction score 11,317 Oct 7, 2024 #1 Yanga mjiandae sana kupimwa umri na Kipre kijana kashakuwa na roho ya kiarabu
Kitchener JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 13,833 Reaction score 27,754 Oct 7, 2024 #2 FK21 said: Yanga mjiandae sana kupimwa umri na kipre kijana kashakuwa na roho ya kiarabu Click to expand... kwenye kundi lao yanga ndio boss. mtelemko.
FK21 said: Yanga mjiandae sana kupimwa umri na kipre kijana kashakuwa na roho ya kiarabu Click to expand... kwenye kundi lao yanga ndio boss. mtelemko.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 19,520 Reaction score 41,727 Oct 7, 2024 #3 Wenzetu hao akina Tatu Mwakarobo washafuzu, ndio maana Magori kasema msimu huu lazima waingie fainali ya shirikisho tunawatizama huku JF ikitunza risiti.
Wenzetu hao akina Tatu Mwakarobo washafuzu, ndio maana Magori kasema msimu huu lazima waingie fainali ya shirikisho tunawatizama huku JF ikitunza risiti.