Yanga kutumia wembe wa 2007 kuinyoa GD Sagrada Esperança

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
yanga_640x360.jpg

MACHI 4, 2007 wakati Grupo Desportivo Sagrada Esperança ikichapwa mabao 2-1 na wenyeji Petro Huambo katika Ligi Kuu ya Angola, maarufu kama Girabola, Yanga nayo ilikuwa ikiwasulubu mabingwa wa Angola, Petro Atletico de Luanda kwa mabao 3-0.

Mchezo huo wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika jijini Dar es Salaam ulishuhudia Yanga ikianza kupata bao la kuongoza dakika ya 77 ambalo mlinzi Renato wa Petro Atletico alijifunga kabla Abdi Kassim hajaongeza la pili dakika ya 83 na Mrisho Ngassa kufunga la tatu dakika ya 88.

Wakati Yanga inafungwa mabao 2-0 na Petro Atletico mjini Luanda Machi 18, 2007 ............

http://www.fikrapevu.com/yanga-kutumia-wembe-wa-2007-kuinyoa-gd-sagrada-esperanca/
Yanga kutumia wembe wa 2007 kuinyoa GD Sagrada Esperança | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom