Yanga kutoshiriki Kagame Cup?

Yanga kutoshiriki Kagame Cup?

Mwaka jana Yanga ilithibitisha kushiriki huko Kigali, Musonye kwa sababu zake mwenyewe akaiengua na kuwapa nafasi hiyo Azam FC, Yanga wasishiriki mashindano haya hadi Musonye atakapoachia ngazi.

Kwani Musonye aliizuia yanga kwa sababu zipi?

Je hazikuwa za Msingi?

Je CECAFA ni Musonye?

Yanga hamuoni mtakua mnafanya michezo ya kitoto au maamuzi ya ki balehe balehe?
 
Kwa hiyo, kuizuia timu kushiriki mashindano kwa sababu ya kupeleka wachezaji wake vijana ambao tff inawatambua ww unaona ni sabb ya msingi eeh?
 
kila mashindano yana kanuni zake...kanuni za mashindano ya CECAfa zilikua zinaruhusu kupeleka timu za watoto?
 
We kweli...sisi tunazungumzia watoto au vijana? Hao vijana WA YANGA walitambuliwa na na tff + fiffa nini ceKAFA....kuna mwaka cecafa illeta mashindano yao hapa ivory coast wakawaleta hao unaowaita watoto na hawakuwarudisha...cha msingi haya mashindano ndo pekee duniani yasio na shria wala kanuni...kama huamini subiri miujiza utakayoiona simba vs mbeya city kwenye nafasi ya ushirki kwenye hilo bonanza
 
Umeshahama hoja.

Kiufupi kanuni za mashindano ya CECAFA hazikuruhusu timu kupeleka timu B

Mlichokuwa mnakifanya Yanga ni Dharau na majivuno

Na sio CECAFA tu...hii tabia mmeifanya hata kwenye kombe la Mapinduzi.

Musonyi kwa sababu hawezi kufumbia fumbia macho aliwambia naked kabisa...hamuwezi kupeleka kikosi B

iVORY Cost haiko katika ukanda wa CECAFA...Ilivyoalikwa ivory coast ilialikwa ije na kikosi hicho

Acheni akili za balehe...U have to grow up yANGA
 
Kwa hiyo ivory coast kwa kuwa ni waalikwa ndo waje na kanuni zao na wasifate kanuni za wenyeji ( cekafa)? Na wangeweza kuchezesha wachezaji hata 12 uwanjani.!!!!.ok, kama musonyi kweli anamsimamo na kanuni za cekafa simba haitashirki kagame...over
 
Alafu unaonekana hujui nini maana ya kikosi b..kikosi b kinaweza kuwa na wachezaji wakubwa ila wasiotumika sana kutokana na kuzidiwa uwezo na wenzao...kwa mfano kwa yanga anaweza kuwa tegete ,nizar khalfan...nk..kuwa mpizani haina maana tubishane kila kitu mkuu huo ni ushabiki wa kishamba
 
Mkuu wakimataifa tafadhali rekebisha kidogo, Yanga ni timu ya mtu mmoja kwa sasa yenye wafuasi wengi wananchi. Ni sahihisho tu mkuu.

Hayo mengine tunasubiri muda, ahsante.

Wameitisha uchaguzi nasikia mwezi Julai, patakuwa patam sana.
 
Kwani Musonye aliizuia yanga kwa sababu zipi?

Je hazikuwa za Msingi?

Je CECAFA ni Musonye?

Yanga hamuoni mtakua mnafanya michezo ya kitoto au maamuzi ya ki balehe balehe?

Maamuzi ya Mwenyekiti hayana kukosea "Zidumu fikra za Manji"
 
Alafu unaonekana hujui nini maana ya kikosi b..kikosi b kinaweza kuwa na wachezaji wakubwa ila wasiotumika sana kutokana na kuzidiwa uwezo na wenzao...kwa mfano kwa yanga anaweza kuwa tegete ,nizar khalfan...nk..kuwa mpizani haina maana tubishane kila kitu mkuu huo ni ushabiki wa kishamba

kwa hio mkuu...pale kabla ya mechi za wakubwa wanaocheza huwa kina nani? je ndicho hicho kikosi Ambacho kina tegete wanaweza kuwa?

Acha kubisha tu ilimuradi mmebisha

Yanga muwe na heshima mtaheshimiwa

Msidharau watu mtadharauliwa

Kinachoshangaza mnaidharau CECAFA alafu hata katika mashindano ya CUF hamjawahi kuzidi raundi ya 3.

Hovyo kabisa
 
Kwa hiyo ivory coast kwa kuwa ni waalikwa ndo waje na kanuni zao na wasifate kanuni za wenyeji ( cekafa)? Na wangeweza kuchezesha wachezaji hata 12 uwanjani.!!!!.ok, kama musonyi kweli anamsimamo na kanuni za cekafa simba haitashirki kagame...over

Unajua tofauti ya Kanuni na sheria?

Hiyo ya wachezaji 11 ni kati ya sheria 17 za soka.Idadi ya wachezaji ni sheria namba 3

Kanuni hua zinaundwa specific kwa mashindano
 
kwa hio mkuu...pale kabla ya mechi za wakubwa wanaocheza huwa kina nani? je ndicho hicho kikosi Ambacho kina tegete wanaweza kuwa?

Acha kubisha tu ilimuradi mmebisha

Yanga muwe na heshima mtaheshimiwa

Msidharau watu mtadharauliwa

Kinachoshangaza mnaidharau CECAFA alafu hata katika mashindano ya CUF hamjawahi kuzidi raundi ya 3.

Hovyo kabisa

Wewe ndo uliyebatiza jikosi cha vijana jina la kikosi b...ndo nikakwambia kikosi b maana yake sio wachezaji vijana au watoto kama unavyowaita ww naona hujui unachoboshania...nyinyi mashabiki wa simba akili zenu anazijua rage...usini Quote tena hujielewi sipo tayali kubishana na mbumbumbu niyakesha hapa
 
Na huku upo, karibu!

Yadumu mapinduzi ya soka...

YADUMU DAIMA.
Mimi napenda soka sio la mdomoni tu, hata kwenye pitch nimo sana tu.Usishangae siku nikakutia aibu mwanaume kwa chenga za maudhi! Bila kusahau cross mimi ni mpigaji mzuri sana.
 
Unajua tofauti ya Kanuni na sheria?

Hiyo ya wachezaji 11 ni kati ya sheria 17 za soka.Idadi ya wachezaji ni sheria namba 3

Kanuni hua zinaundwa specific kwa mashindano

Oh, napita tu mtani.Kwema lakini?
Naona baada ya ligi kuu kuisha umerudi jamvini!
 
YADUMU DAIMA.
Mimi napenda soka sio la mdomoni tu, hata kwenye pitch nimo sana tu.Usishangae siku nikakutia aibu mwanaume kwa chenga za maudhi! Bila kusahau cross mimi ni mpigaji mzuri sana.

Siwezi kukuongopea.

Sijacheza sana soka kwa kuwa ilitupasa kuchagua kati ya shule ama michezo... Hapa kwetu wachezaji wengi hawakupita shule kwa sababu hiyo.

Nimekuwa kocha wa timu za shule na chuo, na sasa niko kwenye utawala wa Soka la Bongo.

Mwenzangu umeshawahi kucheza?
 
Back
Top Bottom