Mabingwa wa tanzania na mabingwa wa kombe la kagame wamepata mualiko wa kwenda bungeni na kombe la kagame kwa lengo la kupewa pongezi na wabunge? Je kwanini twiga stars wamesahaulika kama huu ndio utaratibu wa kuwapa molali ya kufanya vizuri vijana wanaotuwakilisha ktk michezo mbalimbali na hasa wanapotokea kufanya vema ikumbukwe twiga star walikuwa washindi wa tatu na timu yenye nidhamu ktk mashindano yaliyofanyika harare