Ina maana bado hujasikia?!
Sasa hivi TFF wametoa statement na wamei-post kwenye page yao ya Instagram!
Yanga wamefungiwa kushiriki ligi yoyote Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa miaka 7, na adhabu ikiisha, itabidi waanzie Daraja la Pili.
Vile vile points zake zoooooote zimehamishiwa kwa Simba, huku Senzo nae akifungiwa kujishughulisha na soka kwa miaka 10 na GSM wamepigwa marufuku kuingia uwanja wowote wa soka duniani kote, na maamuzi mengi kadhaa wa kadhaa!
Taarifa inaendelea kusema kwamba, ikifika saa 3 usiku, Rais Magufuli atalihutubia taifa kuhusu hilo suala, na redio mbao zinadai huenda GSM wakafilisiwa ili fundisho kwa wengine.