Yanga Kidedea wa Mapato VPL

Yanga Kidedea wa Mapato VPL

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wakati bodi ya ligi kuu ya Vodacom (TPLB), ikitangaza tathimini ya msimu wa Ligi iliyomalizika April 19, Yanga iliingiza 205, 160, 700/- sawa na 29% ya mapato yote, Simba 131,354,798/- sawa na 18.6%, Mbeya City 101,259,632/ sawa na 14.3%- na Azam Fc 59,067,052/- sawa na 8.3%.
 
ndo maana hata waandishi wanabuni habari ilimradi aandike kwenye kablogu,page au gazeti lake liuzike. Hii ni klabu pendwa Tanzania na Afrika Mashariki na kati.Bado tu haijapata akina Moses Katumbi(mmliki TP MAZEMBE) ili waifanye iwe bora kabisa.
Nakumbuka miaka ya nyuma walikuja kufungua tawi Igombe ilemela Mwanza wakiwa na kibus cha coasta watu walikuwa wanatokwa machozi. mi mwenyew hormone zilisisimuka yaan hii klabu sijui ina munkari wa kupendwa.
 
Timu za mikoani zikijipanga kidogo tu AZAM itakuwa ndio timu yenye mapato madogo kuliko zote tatizo imeshindwa kujijenga kwa watu.
 
Back
Top Bottom