Yanga kamili kuivaa prison kesho

Yanga kamili kuivaa prison kesho

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,727
Reaction score
2,265
Baada ya kutoa droo na mbeya city, wabingwa wa kihistoria wa tanzania kesho watashuka dimbani kukwaana wajelajela ,.. Yanga iliyowakosa wachezaji wake mashuhuriniyonzima na msuba kwenye mechi ya juzi, leo imeonekanija ina hali ya kushinda,.
Yanga daima mbele nyuma mwiko.
 
Msuba au Msuva....? Leo au kesho...? Ushindi wao kesho ni sare.
 
Back
Top Bottom