Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,794
- 4,883
Huu ukweli Utopolo hawapendi kuusikia kamwe...@Mandonga hana viwango vya kupigana kimataifa, pia @mwenge hauvuki nje ya nchi yetu
Mambo ya yanga yana wawasha sana? Achana na yanga fatilia timu yako pimbi weweRais, muhandisi na wanyampara wa Yanga lazima wabebe mzigo mzito wa lawama kwa haya yanayoendelea na kutokea.
Kosa pia lilifanyika wakati wa kusajili wachezaji, hakukuwa na balance kwenye team, plus kocha ambaye ni mzuri sana. Lingala na franco nafikiri mmenielewa.
Cha pili Yanga kujiwekea malengo ya kukimbiza kivuli cha Simba kimataifa ni kosa, wao wangejikita kujenga team ndani ambalo walifanikiwa then taratibu kimataifa wasifikile kule kuna akina Kayoko....
Rais wenu mshamba hata kama mpango wa kumtimua Nabi ulikuwepo huwezi siku ya derby kuuza sura na kocha mwingine VIP Au pale aliyewakanyanga na kumkabidhi jezi wakati Nabi anahangaika na team pale....ilishusha morali hadi dressing room.
Kitakachofuata ni mass exodus ya wachezaji wa kikongo na rasmi yanga kuanza kutoboka NBC league kwa kufungwa.
Usiige ige mwishowe utapasuka msamba.
Ni hayo tu
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Ukweli mchungu lazima usemwe mkuuMambo ya yanga yana wawasha sana? Achana na yanga fatilia timu yako pimbi wewe
Manara , ujio wa kisinda na Morrison , ni Makati wa ******* tuu usio na tija , ndo tatizo la kuwa na sponsor wasio na weledi wa mpira mwisho wa sku wanakuwa kama wamiliki wa clubIla Manara kaiharibu hii club ya Yanga sana...sijui nani alimkaribisha Manara Yanga...
Hapo umeongea ukweli. Manara alikua project sema ni vile tu hatuezi tema udendeIla Manara kaiharibu hii club ya Yanga sana...sijui nani alimkaribisha Manara Yanga...
Sawa sawa dokta luv msalimie skununu na lodi lofa pale jangwani. Hamtaki kuambiwa ukweli mnaleta undezi wa umang'aa haya sawaMambo ya yanga yana wawasha sana? Achana na yanga fatilia timu yako pimbi wewe
We tahaira kwako kunanuka unashindwa kupasafisha unakurupukia nyumba ya jirani, Kasafishe kwako kwanza ndo uwe na nguvu ya kuwasema wengine zaidi ya hapo utaonekana ni kichaa tu asiyejielewaRais, muhandisi na wanyampara wa Yanga lazima wabebe mzigo mzito wa lawama kwa haya yanayoendelea na kutokea.
Kosa pia lilifanyika wakati wa kusajili wachezaji, hakukuwa na balance kwenye timu, pia kocha ambaye ni mzuri sana. Lingala na Franco nafikiri mmenielewa.
Cha pili Yanga kujiwekea malengo ya kukimbiza kivuli cha Simba kimataifa ni kosa, wao wangejikita kujenga timu ndani ambalo walifanikiwa halafu taratibu kimataifa wasifikirie kule kuna akina Kayoko.
Rais wenu mshamba hata kama mpango wa kumtimua Nabi ulikuwepo, huwezi siku ya Derby kuuza sura na kocha mwingine VIP au pale aliyewakanyanga na kumkabidhi jezi wakati Nabi anahangaika na timu. Pale ilishusha morali hadi chumba cha kubadilishia nguo.
Kitakachofuata ni mass exodus ya wachezaji wa kikongo na rasmi yanga kuanza kutoboka NBC league kwa kufungwa.
Usiige ige mwishowe utapasuka msamba.
Ni hayo tu
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho! Hakuna hoja hata moja!Rais, muhandisi na wanyampara wa Yanga lazima wabebe mzigo mzito wa lawama kwa haya yanayoendelea na kutokea.