Yanga Hii ya Kazi

Yanga Hii ya Kazi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Ally-Mayay-Tembele-1024x683.jpg
 
YM atagombea tena uenyekiti, au malengo hayajatimia? :biggrin1:
 
Wa kwanza kutoka kushoto waliosimama ni Mwanamtwa Kihwelo, wa pili namruka,wa tatu namruka,wa nne namruka, wa tano Waziri Mahadhi na wa mwisho namruka.

Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Saidi Maulidi Kalikula, Hali mayai & tembele, goalie namruka, Edibily Jonas Lunya, na wa mwisho namwacha anajijua mwenyewe.

Nilikuwepo kama sipo, yaani kiaina vile
 
mbona umeandika kinyodo nyodo au na wewe ni wale fans wa mikia a.k.a MAMBUMBUMBU FC????
 
Nilijua kuna kitu cha maana mnachojadili haya nawaacha mabingwa wa tanzania wa zaman watu hawavai yeboyebo ck hizi
 
wa tatu ni IDDI MOSHI SHAABAN "MNYAMWEZI"🙂 kaka yake na Haruna Moshi Boban.
Wa kwanza kutoka kushoto waliosimama ni Mwanamtwa Kihwelo, wa pili namruka,wa tatu namruka,wa nne namruka, wa tano Waziri Mahadhi na wa mwisho namruka.

Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Saidi Maulidi Kalikula, Hali mayai & tembele, goalie namruka, Edibily Jonas Lunya, na wa mwisho namwacha anajijua mwenyewe.

Nilikuwepo kama sipo, yaani kiaina vile
 
Uliowaruka, Iddi moshi Shabani, Chibe Chibindu, Doyi Moke na Yahya Issa
 
Wapili toka kushoto waliosimama ni Abdulkadir Tash golikipa Doye Moki
 
kwa mpira wa bongo hawa wote utakuta ni madereva taxi sasa hivi.
 
m4sag.jpg
wachezaji waliowahi kuchezea simba hapa ni Said Mwamba, Method Mogella, Zamoyoni Mogella, Hamis Gaga, Edibily Lunyamila, Mohamed Hussein
 
kwa mpira wa bongo hawa wote utakuta ni madereva taxi sasa hivi.

Mchezaji ninayemjua na anapopaki kama dereva tax ni Malota Soma "Ball Jugler"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom