Tatizo la mpira wa Tanzania ni kubebana. Azam wanacheza mpira wa uhakika na ndiyo timu pekee iliyo na muelekeo mzuri ikifuatiwa na Mbeya City. Baada ya Yanga kusajiri wachezaji waliochakachuliwa waandishi wa habari Bongo wakawapa Yanga ubingwa wasiostahili, leo wamekosa ubingwa wanaanza kutafuta mchawi ni nani. My take, Yanga ni sawa na CCM....wanatumia propaganda nyingi ili wabebwe. Na mwenye akili timamu kamwe hawezi kushabikia mpira wa Simba na Yanga!