Yanga hakuna bure tena?

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,142
Reaction score
24,444
baada ya kutuonjesha ile bure tunataka tupewe tena nafasi ya kuja kuwashangilia kwa wingi,au mna uhakika wa kupigwa tena ili tusije kwa wingi,sema kwa tizi na magazeti yalivyoimaliza hiyo mechi itashangaza kama mtapoteza,
labda tuwatie moyo kazeni mpate point tatu mpate pa kuanzia!
 
Mechi Ni ngumu Sana.Yanga inatakiwa kushinda hili gemu ili kufufua matumaini yaliopotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…