Yanga Day

Siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi, YANGA mechi itakuwa dhidi ya timu gani?
Ilisemwa itakuwa against Bandari FC kutika Kenya. Ingawaje ka Kamwe kametoa offer kwa Makolo kama wanaona tarehe ya Ngao ya Jamii itakuwa karibu na mechi ya kimataifa basi tumwahirishie bandari ili waonwachukue nafasi hiyo tucheze nao siku ya Mwananchi day.
 
Hahahahahaaha
 
Hako ka Uto baada ya kuona uwanja utapwaya...πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…