Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 May 6, 2012 #1 Njemba hiyo iliyopewa jina la Yanga kutokana na meno yake kuwa ya njano mno...ilimuua Simba mla watu kwa mkuki huko maeneo ya Muswimbazyi karibu na mbuga ya wanyama Mikumi. 'nilimchoma sehemu mbili muhimu' Alinukuliwa.
Njemba hiyo iliyopewa jina la Yanga kutokana na meno yake kuwa ya njano mno...ilimuua Simba mla watu kwa mkuki huko maeneo ya Muswimbazyi karibu na mbuga ya wanyama Mikumi. 'nilimchoma sehemu mbili muhimu' Alinukuliwa.
Sunshow JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,140 Reaction score 395 May 6, 2012 #3 Angalia isije kuwa kinyume chake.
T torres0909 Member Joined Feb 22, 2011 Posts 41 Reaction score 20 May 6, 2012 #4 Nahisi hilo njemba litakuwa Mwape tu.
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 May 6, 2012 Thread starter #5 torres0909 said: Nahisi hilo njemba litakuwa Mwape tu. Click to expand... hahaha!