yanga au majangaa!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,674
kwa tafsiri iliyo rahisi ni kwamba yanga wamepigwa 3-0''
 
Maskini akipata..
mnyama ni tajiri wa kufanya anachotaka kwa muda ambao mwingine hawezi...
Mwaka 1976 alimpiga yeboyebo goli 6,sikumbuki kama masikini huyu(yanga)amezilipa
kuna hizi 5 za juzijuzi halikadhalika hazija lipwa,sasa sijui masikini ni yupi kati ya anayeshindwa kulipa madeni au anayelipa
TAFAKARI CHUKUA HATUA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…