Kwani ile miaka 30 ambayo walikua hoi hawakua na rangi ya kijani?Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kumiliki akili zake?unayumba mzee
Wewe ni Mgeni hapa, Mshana ni Simba damu.Acheni kujifariji, Mnazani waarabu ni sawa ihefu fc sio[emoji23]
Kuna wakati hata shetani huongea kweli tupurudisha simu kwa mwenyewe mshana hawezi jitoa akili hivi
younG african
hayo ni mawazo yakoUnataka kumiliki akili zake?
Wazee wa Kilingeni Msata wamesema hivyo?Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini
Yanga inawakilishwa na rangi ya kijani ambayo kiasili ni rangi inayowakilisha uhai, kiroho rangi ya kijani ni rangi yenye nguvu mno!
Kijani hakiwezi kusitawi bila maji, na maji hutokea kwa namna nyingi na mojawapo ni mvua! Ni maji ya mvua pekee ndio huleta ustawi wa kijani kwa ukubwa na kwa haraka na bila gharama!
Kafara la maji kwa yanga kutoka SIMBA huwa linafanikiwa kwakuwa SIMBA ni rangi nyekundu kiwakilishi cha moto! Kijani kwenye nyekundu hakina nguvu kabisa!
Kama Yanga hawajafanya kafara lolote la kumwaga damu leo gemu ni lao
Mark my words!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nailazimisha furaha moyoni nina majonzi [emoji23]USM ALGER 0 - 2 YANGA