Yanga african mupooooooooo


nachukia hizo rangi,wanao zivaa pia siwapendi................................. lakini natamani kumvua.(tumvalishe nyekundu).binam hapo vipi?
 
Mkuu Cynic kwani hao Ma Support wa hamas wanavaa hivyo?unawajuwa lakini wewe Hams?au unaropoka ovyo tu?

Mkuu MziziMkavu, Ndiyo.. nawafahamu sana Hamas - na tena kuna wanaovaa hivyo, wala sikuropoka. Wengi wanafikiri Hamas (wapalestina wakristo wanaotoka Gaza) ni Islamic fundamentalists wanaovaa Baibui tu, kufunga ndevu, na kuvaa misuli. Si kweli, Gaza ni huru, wapo wakristo, wasiyo na dini, etc. na wanavaa wanavyopenda. Tena kwa taarifa yako hata baadhi ya viongozi wa Hamas ni Wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…