Yanayotokea Libya yanatufundisha nini?

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,829
3,118
Waliambiwa na walafi wa raslimali zao ya kwamba kuna raha na maisha mazuri kama ya peponi watakapo muweka pembeni the late Muammar Ghadaffi,

Wakakomaa ,kumbe walikua wanaingizwa chaka,mbaya zaidi waliingizwa chaka na baadhi ya walibya wenzao ambao tayari familia zao zilikua haziishi hapo Libya ,tayari walikua wameshazihamishia ughaibuni na majumba ya kifahari walikua tayari wanayo.
Leo ngoma inogile,wanaomba ajua ,yaani Ghadaffi arudi madarakani ili waweze pata nafasi ya kukataa ushauri waliopewa,lakini wapi too late.
Wengine wanajaribu kukimbilia kwa walio warubuni ,wanakataliwa na kufa hovyo baharini,mafuta yanakwenda bila kodi ,wanajaziwa siraha wamalizane vizuri.

Wajinga ndio waliwao,acha waliwe haswa,
 
Back
Top Bottom