CCM original
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 373
- 68
sipati picha waganga walivyojaa hapo dodoma ,
huu ni msimu wa waganga kutajirika.kuna habari zinaendelea kule kwenye magroup ya watssp kuwa membe kaagiza waganga kutoka nigeria
Membe kawashushq waganga wenye idadi ya kila mkoa tanzania..yaan kila mkoa mganga mmoja
Kikao cha siri na wewe si mjumbe utayatoa hadharani vipi? Hebu kajambe huko unadhani kila mtu ni mbumbumbu mwenzako?
Membe kawashushq waganga wenye idadi ya kila mkoa tanzania..yaan kila mkoa mganga mmoja
ulijuaje? Nawe mganga wa kuagua/kupiga ramli?
Chama cha vibaka mwaka huu urais mtabaki kuusikilizia kwenye vyombo vya habari!
Habari za siku tele wanajamvi.
Leo tupo ktk ukumbi wa CCM hapa mjini Dodoma ambapo wajumbe wa kamati kuu wakiwa na kikao adhimu cha kujadili wanachama waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi ya kuongoza taasisi ya urais.
Mimi si mjumbe wa kamati kuu ila nipo hapa "ikulu" ktk harakati za kumpata rais wa awamu ya 5.
Nitakuwa nawaletea kila lililo muhimu hapa, japo ni kikao cha siri ila yale yenye maslahi ya nchi nitayatoa hadharani.
Baadhi ya wajumbe wameshawasili hapa nje ila ajabu nawaona wajumbe watatu ambao wametangaza nia wapo hapa, sidhani kama wamepata taarifa ya kuhudhuria au la!
Nitawajuzaaa!!!
Wewe utakua ni wale wasafisha ukumbi, watu wenyewe hawajafika ww kiherehere!
JK yuko hapo kushinikiza miswada ya petroli na gesi iwe sheria,sio hao wagombea uvundoHabari za siku tele wanajamvi.
Leo tupo ktk ukumbi wa CCM hapa mjini Dodoma ambapo wajumbe wa kamati kuu wakiwa na kikao adhimu cha kujadili wanachama waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi ya kuongoza taasisi ya urais.
Mimi si mjumbe wa kamati kuu ila nipo hapa "ikulu" ktk harakati za kumpata rais wa awamu ya 5.
Nitakuwa nawaletea kila lililo muhimu hapa, japo ni kikao cha siri ila yale yenye maslahi ya nchi nitayatoa hadharani.
Baadhi ya wajumbe wameshawasili hapa nje ila ajabu nawaona wajumbe watatu ambao wametangaza nia wapo hapa, sidhani kama wamepata taarifa ya kuhudhuria au la!
Nitawajuzaaa!!!
Alhaji Membe,
sasa nimeamini undugu wa huyu jamaa na jk,hapo ni msikitini kabisa,hilo jina benard kumbe ni geresha