Yanayojiri Bungeni Leo 19 Mei 2016

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
BUNGE LA 11 MKUTANO WA 3
KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

WIZARA YA TAMISEMI
Swali:
Je ili kuweka utawala wa sheria waziri haoni umuhimu wa kutoa tamko ili halmashauri zofanye maamuzi kwa mujibu wa sheria?
Majibu: Kama hlamashauri hazitendi kazi kwa mujibu wa sheria na utaratibu lazima Mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya aingilie
 
Back
Top Bottom