Bungeni Dodoma: CCM yasisitiza kura ya wazi na kukataa maamuzi ya theluthi mbili
Nipo ndani ya bunge now na ccm wamemaliza mkutano wao soon kwa kukataa katakata kura ya siri katika maamuzi yote na kutaka kura ya wazi. Aidha ccm pia wamekusudia leo hii kurudisha nyuma kwa kutengua kanuni ya upitishaji maamuzi ili iwe nusu ya wajunbe wa zanzibar na nusu ya watanganyika na kuifuta theluthi mbili iliyokubalika na kupitishwa.
Kamati aliyounda kificho ya maridhiano imeshindwa kukubaliana na hadi ninapotuma andiko hili bado kikao kinaendelea cha kamati ya maridhiano kujua cha kuganya kwani kikao huenda kikavunjika mapema leo.
Endeleeni kusubiri zaidi
Mkuu huwezi kuishi na kufanya kazi halafu usilipwe posho hilo halikwepeki kabisa ni haki yetu.mkumbuke kupokea posho pia
Mkuu huwezi kuishi na kufanya kazi halafu usilipwe posho hilo halikwepeki kabisa ni haki yetu.
kumbe uko na gamba lenzio.hata sina muda wa kufuatilia uchafu wenu maana nyie ni kizazi cha wachakachuaji.
habar kuletwa na mtu huyu ni habar za kishabiki sana.... hajitambui ---- huyuBaada ya vikao vya jana kwenda vema hasa vile vya kamati na vile vya usuruhishi leo kanuni zinaweza kupita hatimaye zoezi la kupata mwenyekiti lifuate.
huna hadhi ya kuaminiwa na jamii zaid ni magamban kwenu huko....Mkuu huwezi kuishi na kufanya kazi halafu usilipwe posho hilo halikwepeki kabisa ni haki yetu.
Naomba kujua unawakilisha kundi gani hapo mjengoni!
hii tunaita sitaki nicheke! ha ha ha .Msisahau kutupia picha nyingi maana kuna wengine picha tunaaielewa zaidi kuliko bla blaaaa
viti maalumu vya upendeo wa kijinsia.