Yanayojiri Barabarani

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,279
Reaction score
51,700
Kuwataka madereva wakasome yaweza kutokuwasuluhu ya kutokomeza ajali za barabarani, hawa ni madereva waliokwenda chuo, ile Nissan mbele ni gari ya serikali, na huyu wa nyuma ni dereva wa bus.

Alama za barabarani haziruhusu ku overtake lakini wameovertake, je somo la darasani liliwasaidia?

Vituo vya ukaguzi vinaweza kuwa sehemu ndogo ya suluhisho, lakini makosa mengi ya barabarani hayafanwi maeneo yenye ukaguzi, yanafanywa mbali kabisa na vituo,

***Kumradhi video inagoma kuinuka***

***Naendelea kujaribu kuinua video***
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…