Yanayoendelea code ni nyepesi tu kuua ushahidi

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Wanangu siongei sana na nikiongea sana nitaharibu, halafu mimi nowdays naona hata kuwasanua watu wa mfumo naona ni kama nitawasaidia tu, waache wamalizane huko

Ishu ni simple tu kamati lishaundwa huko, sahivi theory ya "Scapegoat") ndo inatumika wanatafutwa wa kuangushiwa jumba bovu

Maana mtu akishaenda hata akija bebeshwa lawama haimake sense maana hayupo na hatoweza jitetea ashapumzika milele.

Ishu ya Mo29 ni nzito mnoo connect dots mambo ya mochwari,miili hospital nk......

Connect dots ishu ya kutolewa kina Masa kibua mwenzie then akawekwa mnyambo then jambo la mo29 likafanyika then mnyambo out then kawekwa mwingine hapo wa kubeba zigo la scapegoat ni mnyambo na wala sio masa kibua....Vibua wameamua this time.

Hali ni mbaya sana humo ndani vita ni kali sana chumbani.Kwa msojua ni wale watu wa mfumo[emoji1276] kindakindaki yaani ni wale vatican waliokunywa maji ya bendera tunaomjua personally nawapeni hiyo hata waulizeni waliokua close nae yaani humwambii kitu kuhusu roma kapikwa sana na mfumo wa Roma kaiva elimu zake zote kapita humo kwahiyo alikua pale wanamuona kama Jasusi la[emoji1276].

Connect mo29+Ishu ya binti wa kiroma+ Ishu ya jobo hivi nyie hamuoni cycle? Hapo sijaweka overtake inayokuja kwa kasi ya Vibua kutake over mainland? Mngejua plan iliyopo na yaliyomo mioyoni mwao na mipango ya muda mrefu mngelia kuna Mpango nzito sana upo behind kuna mtu alikua ananiambia kuna mikataba zaidi ya 24 ya siri ipo na wale wajomba zetu wa pale kwenye mafuta pale kule vibua wanapaita ujombani.

Ishu ya mo29 imeleta shida kubwa sana.
 
Kaka hao waacheni si tuendelee na shighuli zetu hatutaki mambo ya lockdown amini usiamino hao watachinjana wenyewe bado Kuna inshu ya mtu KUPIGWA risasi live nisubiri hio ndo to naiona itatimia na hapo ndo kipyenga Cha kipute kuanza rasmi kitasikika, watu watakimbia vivuli vyao ohoooo, si Wala tunaendelea na kazi zetu
 
Brother unaruka ruka tu kama maharage yanayochemka. Ulituaminisha hapa maandamano yanaendelea baada ya D9 ...ajabu kimya mpaka sasa na hujaonekana popote ukishikilia Bango lako barabarani 😜 Leo tena umeunga uelekeo wa upepo unapovuma.

Nakushauri endelea kuwaunga mkono bwana zako Iran na Leo wameunga juhudi 😜 si umemuona balozi wenu?
 
Nyinyi endeleeni na kazi na sisi wengine tunaendelea na mapambano underwater mpaka Samia arudi kwao.
 
Mna ujinga mwingi sana!!! Habil kaishia wapi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😆😆😆syndicate ikisoma watu wanalala mbele na kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…