Yanayoendelea CHADEMA ni marudio tu ya historia

MTANZANIA620

Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
82
Reaction score
98
Kumewahi kuwa na mapambano ya kambi 2 tofauti ndani ya vyama vya upinzani toka mwaka 1995

CUF ya Maalim Seif Vs CUF ya Prof Lipumba

KNCCR ya Agustine Mrema Vs NCCR ya Masumbuko Lamwai

NCCR ya James MBATIA Vs NCCR ya Joseph Selasini

Sasa ni
CHADEMA ya Tundu Lissu Vs CHADEMA ya Freeman Mbowe

Wenye D3 wameshaelewa
 
Mtaongea yote mwaka huu. Na bado

Lissu wapeleke hawa mbogamboga

20250324_210718.jpg
 
Kumewahi kuwa na mapambano ya kambi 2 tofauti ndani ya vyama vya upinzani toka mwaka 1995

CUF ya Maalim Seif Vs CUF ya Prof Lipumba

KNCCR ya Agustine Mrema Vs NCCR ya Masumbuko Lamwai

NCCR ya James MBATIA Vs NCCR ya Joseph Selasini

Sasa ni
CHADEMA ya Tundu Lissu Vs CHADEMA ya Freeman Mbowe

Wenye D3 wameshaelewa
Hamna lolote hapo,Chadema chini ya Lissu ni imara zaidi coz hanunuliki.
 
Kumewahi kuwa na mapambano ya kambi 2 tofauti ndani ya vyama vya upinzani toka mwaka 1995

CUF ya Maalim Seif Vs CUF ya Prof Lipumba

KNCCR ya Agustine Mrema Vs NCCR ya Masumbuko Lamwai

NCCR ya James MBATIA Vs NCCR ya Joseph Selasini

Sasa ni
CHADEMA ya Tundu Lissu Vs CHADEMA ya Freeman Mbowe

Wenye D3 wameshaelewa
Tatizo kubwa lipo kwenye sheria za kupata serikali ya kidemokrasia.
Wanazungumzia vyama vya siasa huku wakiwanyima wananchi walio wengi haki ya msingi ambayo ni haki ya kumchagua yupi bora kwako.
Chadema sio muarobani.Muarobani ni kuwa na mgombea au wagombea binafsi.Pale ndio tutaondokana na ujima wa vyama vya siasa.
 
Na mara zote ni upande unaofadhiliwa na serikali ndiyo huwa unashinda mpambano.

Lkn chini ya mpakwa mafuta Tu du Lisu, kamabi ya Mbowe mpiga dili pamoja na kwamba wanafadhiliwa na mama Abdul, kamwe hawatashinda! Wataangukia pua.
 
Back
Top Bottom