yanatokea haya huko bush

Hii nafikiri hata Mjini ingekuwepo hawa Viongozi wapuuzi wangekomeshwa Mkuu.
 
hahahhahaaaaa sosoliso na saudari wamedhulumiana mademu hizo ndio adhabu za vijijini. una mlaba mwenzio bakora kadhaaa unamchukua mkeo life goes on, hakuna mambo ya kulambana tigo au tego au kuita magazeti ya udaku na kamera na mabaunsa!

Hii busara ni kubwa sana
 
Last edited by a moderator:
saudari aliingia anga zangu.. Nikamtandika bakora kadhaa..
 
Last edited by a moderator:
Huyu amekamatwa red handed akila kuku na ndizi nyama. Yule alikufa lakini. Lakini hakutupwa jamaa wakamla. daha hatari sana.
 
,,,,yani kama ni mimi hapo kinachofuata ni MBIO tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…