Yamoto moto ya kupumzikia weekend!

Yamoto moto ya kupumzikia weekend!

Gody

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
1,249
Reaction score
417
>>>>>WAGOGO watatu walikwenda kumtembelea ndugu yao mjini nae akawakaribisha kwa kuwapa soda walipoondoka mmoja wao akaweka kizibo cha soda mfukoni badae walipofika mbali akamnong'oneza mwezie kuwa
'' ANE NOMUYAGO NASOLA NE MBEYU YONOCHING'WA.'' yaani (mimi mwenzio nimechukua na mbegu ambayo tumekunywa)

weekend njema!!
 
hahahaaaaa

Ndg zetu hao wa kanda ya kati bwana
wanasema tukinunua andazi tutapata hasara bora tununue na kitumbua tupata faida mbili
1 tupata na maffuta ya kupaka
2 kitumbua tutakula kama chakula!!
 
>>>>>WAGOGO watatu walikwenda kumtembelea ndugu yao mjini nae akawakaribisha kwa kuwapa soda walipoondoka mmoja wao akaweka kizibo cha soda mfukoni badae walipofika mbali akamnong'oneza mwezie kuwa '' ANE NOMUYAGO NASOLA NE MBEYU YONOCHING'WA.'' yaani (mimi mwenzio nimechukua na mbegu ambayo tumekunywa) weekend njema!!
Gody U made my Saturday. Umetisha, hii kitu "ilinzizi kama uchi". Mwabie mgogo akutafsirie maneno yaliyo kwenye mabano kama huelewi Kigogo.
 
Gody U made my Saturday. Umetisha, hii kitu "ilinzizi kama uchi". Mwabie mgogo akutafsirie maneno yaliyo kwenye mabano kama huelewi Kigogo.
>>nimepata jibu la kuwa 'Uchi' kiswahili ni 'Asali'
 
>>>>>WAGOGO watatu walikwenda kumtembelea ndugu yao mjini nae akawakaribisha kwa kuwapa soda walipoondoka mmoja wao akaweka kizibo cha soda mfukoni badae walipofika mbali akamnong'oneza mwezie kuwa
'' ANE NOMUYAGO NASOLA NE MBEYU YONOCHING'WA.'' yaani (mimi mwenzio nimechukua na mbegu ambayo tumekunywa)

weekend njema!!

Hahaahaaaa
Dah jamaa nima lol
Au mlimo khaaaa mwene anye
 
Gody U made my Saturday. Umetisha, hii kitu "ilinzizi kama uchi". Mwabie mgogo akutafsirie maneno yaliyo kwenye mabano kama huelewi Kigogo.

Feedback...

aliye nitafsiria maana ya Uchi kuwa ni Asali, akanipa na hii ya wekend na Pasaka!

kuna jamaa alienda bush akasikia dogo linamwita mwenzie na kumwambia:-
''matonya! Matonya! Chibite chikabakule uchi akulya kumbago''
sasa yule jamaa akahamaki ''mbona watoto wanatukana mbele ya wakubwa wao?''!!!!!!?
Mwenyej wake akamtafsiria kuwa hawatukan ila kasema
''Mazengo! Mazengo! Twende tukapakue asali kule porini''
jamaa akabaki anajchekea mwenyewe!!
 
YA WEEKEND
>>>Hata SUMATRA wapandishe nauli vp lkn hawawezi kuwapangia nauli tax na bodaboda!!!!!!!!
 
>>>Mwanamke hata awe bausa vipi lkn hawezi kutembea kifua wazi hata sku mojaa....

nawatakia mapumziko mazuri ya wkend!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom