yamoto band waimbe,kunufaika anufaike fella

dobolo

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
47
Reaction score
8
jamaa wanaimba ila wanaonufaika wengine kwel bongo ni bongoland
 
so sad. hawa vijana nawakubali xana. ila wakibxha kujtoa kundni wamekwisha coz fitna za fella, babu tale wakixhrkiana na ruge ni hatar.
system ni mbovu. mi mwenyewe karbu naanzixha kiwanda cha kurudufu kaz za waxanii. wote bongo movie n fleva. ndo hvyo hvyo tunavyoishi.
 
mkuu wewe ni nani kati ya wale watoto watatu?
 

jf kuna mambo na hili nalo jambo
 

dogo unazingua mbona unaandika kama umepakatwa
 

Andika vitu vyenye maana mkuu huu utumwa wa kuiga utakusaidia nini? Sasa kuna ugumu gani kuandika ''s''? Hizo x za nini?
Peleka huo utoto wako facebook.
 
kiukweli hawa noma kuna hii nyimbo yao mpya niseme nisisema
 
Wanamuziki wa kibongo hawajitambui,ni ajabu meneja anafaika,wenyewe hoi bin taabani.
 
Tatizo mnaangalia upande mmoja mnasahua kwamba hili ni swala la kibiashara sio burudani tu kuwafurahisha mashabiki na kuwanufaisha wasanii, lakini pia hawa wasanii ili wasimame na kuweza kufanya kazi za kiwango stahiki nyuma yake lazima kuwe na mtu anaebeba huu mzingo, kimsingi fella amewekeza ya moto band, hivyo usitegemee yeye apate 25% halafu wasanii wake wapate 75% ya kinachoingizwa na band.

Sio kila mtu ili ale nilazima akajipange ubungo kubeba mizingo, kila mbuzi atakula kulingana na urefu wakamba yake, wewe ukiweka nguvu mwingine anawekeza pesa, hivyo usitegemee utakula sawa na aliewekeza pesa. maisha ndivyo yanavyokwenda hauwezi kuwa na kila kitu uwe na pesa pia uwe na kipaji cha muziki, unakipaji unamtafuta mwenye pesa akuinue.
 
For sure Phlagiey wengi hawalitambui hilo japo nao hawa jamaa ni parasite lakini madogo wanakua kimziki..
 
Last edited by a moderator:

Umenena vyema Mkuu.
 
Wabongo kwa shombo!mnajua yamoto ilipoanzia Aachen I madogo Na mkubwa wao wanajua wanafanya nn wewe kama unaona kazi raising anayofanya fella na wewe Fanya kwani vijana wapo kibao mtaani wanajua kuimba
 
Mwandiko wako unavunja moyo wa kusoma habari yako. Nimeshindwa kusoma.
 

licha ya kipaji wameandaliwa pia hiinibiashara kilamtu inabidi anufaike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…